News
Posted On:
Nov, 28 2024
Salamu za Pongezi - Mhandisi Mussa Natty
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Mhandisi Mussa Bally Natty kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara kuanzia Tarehe 27.11. 2024
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja na Wafanyakazi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara, tunakupongeza Mhandisi Mussa Bally Natty, tunakuahidi ushirikiano na kukutakia kila la heri katika utekelezaji wa majukumu yako mapya.
Kazi Iendelee.