Dawati la Meneja

Mhandisi Rashid S. Kalimbaga
Kaimu Mtendaji Mkuu
Mhandisi Rashid S. Kalimbaga

Ninayo furaha kukukaribisha katika tovuti hii kwa niaba ya watumishi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Tanzania, ambapo tunaamini utapata taarifa za kuaminika na kwa ukamilifu kuhusu majukumu, upeo wa mamlaka, dira, dhamira, misingi mikuu, malengo na mikakati.