![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1675523802-thumb_MTVL5347_1024.jpg)
Roads Fund Manager Mr. Eliud Nyauhenga, speaking to members of the Tanzania Parliamentary Budget Committee, during their visit to Roads Fund Board Offices in Dodoma, on his left hand side is the Vice Chairman of the Committee Hon. Ally Hassan Omar King (MP.)
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1675523802-thumb_MTVL5347_1024.jpg)
Roads Fund Manager Mr. Eliud Nyauhenga, speaking to members of the Tanzania Parliamentary Budget Committee, during their visit to Roads Fund Board Offices in Dodoma, on his left hand side is the Vice Chairman of the Committee Hon. Ally Hassan Omar King (MP.)
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1664955160-1.jpg)
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya, akisalimiana na Meneja wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) Eliud Nyauhenga, wakati akiwasili kwenye warsha ya kujadili namna ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi kwenye miundombinu ya barabara, iliyoandaliwa na Bodi ya Mfuko wa Barabara jijini Mwanza. Pamoja nao ni Katibu Mkuu Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour, na Mwenyekiti wa RFB Joseph Haule.
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1664373351-0C6A9067.jpg)
Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), wakikagua ujenzi wa barabara ya mawe ya Shule ya Msingi Igoma (mita 370) jijini Mwanza, inayojengwa kwa fedha za Mfuko wa Barabara. Ujenzi wa barabara za mawe unatoa fursa ya ajira kwa wananchi wa kawaida wasio na ajira rasmi katika hatua za uzalishaji wa mawe na ujengaji wa barabara hizo.
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1664369496-0C6A9081.jpg)
Muonekano wa barabara ya Shule ya Msingi Igoma (mita370), iliyopo Igoma jijini Mwanza inayojengwa kwa kiwango cha mawe, kwa gharama ya shilingi za kitanzania milioni 167.1 fedha kutoka Bodi ya Mfuko wa Barabara.
Muonekano wa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma kati ya Magogoni Kigamboni mkoani Dar es Salam, ambacho ukarabati wake unafanywa kwa fedha za Mfuko wa Barabara.
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1664369247-6.jpg)
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa tuzo za kusanifu na kujenga barabara na madaraja kwa kutumia rasilimali zilizopo nchini (waliosimama), kwenye warsha ya kujadili namna ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabia nchi kwenye miundombinu ya barabara, iliyofanyika jijini Mwanza
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1606302515-Magufuli Bridge.jpg)
The Magufuli bridge in Kilombero will last longer as long as it is maintained regularly. The Roads Fund will provide funds for its maintenance.
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1606302394-Furahisha Bridge in Mwanza City Council.jpg)
The Furahisha bridge in Mwanza was constructed using Roads Fund and will be maintained using the same source of fund
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1570517689-LBT.jpg)
Labour Based Routine Maintenance Works along Luale - Kododo Road in Mvomero District Council
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1570517595-Dodoma Babati Road.jpg)
Dodoma – Babati Road which will be maintained by Roads Fund