![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1758283337-web 3.jpeg)
Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Mhandisi Mussa Natty (wa kwanza kulia), wakiangalia sehemu ya mtaro (m 450) uliojengwa katika Barabara ya Dodoma hadi Kitinku (Km 66.7) katika eneo la Kizota.
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1758226687-web 2.jpeg)
Matengenezo ya barabara yaliyohusisha uwekaji wa tabaka jipya la barabara kwa kutumia lami katika eneo la Bahi mita 450, kwenye barabara ya Dodoma hadi Kitinku (Km 66.7) uliofanywa kwa fedha za Serikali kupitia Mfuko wa Barabara
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1693912692-IMG_6244.jpg)
Muonekano wa Daraja jipya la Ngira mkoani Kilimanjaro lililojengwa kwa fedha za Mfuko wa Barabara
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1682324950-Kiyegeya1.jpg)
Muonekano Daraja la Kiyegeya mkoani Morogoro lilijengwa na litakarabatiwa kutumia fedha za Mfuko wa Barabara