Muundo wa Bodi

Kwa utekelezaji mzuri wa majukumu ya Bodi, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Tozo ya Mafuta Sura ya 220 (Toleo lililorekebishwa la 2006) huunda muundo wa Bodi. Bodi ina wajumbe tisa, wanne kutoka kwa sekta ya umma na watano kutoka sekta binafsi. Kipindi cha Wajumbe wa kuwa ndani ya Bodi ni Miaka Mitatu (3) unaoendelezwa mara moja tu.

  1. Nafasi Wazi - Mwenyekiti
  2. Bw. Octavian E.N. Mshiu - Makamu Mwenyekiti
  3. Bw. Adolf Hyasinth Ndunguru - Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  4. Dkt. Natu E. Mwamba - Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha
  5. Mha. Aisha S. Amour - Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi
  6. Bibi. Neema Mhondo - Mwakilishi kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania
  7. Mha. Alois M. Matei - Mkurugenzi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi
  8. Bw. Hussein Wandwi - Mwakilishi wa Chama cha Wamiliki wa Malori
  9. Bw. William Mwakilema - Mjumbe